Burudani

Picha, Inapigwa mnada gari aliyonunua 2 Pac mwezi mmoja kabla ya kifo chake

By  | 
Sambaza Hii Kwa Marafiki

Gari alilonunua Tupac Shakur mwezi mmoja kabla ya kifo chake imerudishwa mnadani baada ya aliyeahidi kununua gari hio kwenye mnada wa kwanza kushindwa kulipa pesa hizo.

Gari hio ni Hammer ya mwaka 1996 na ilibidi ilipiwe dola $337,000 mnamo May 2016 ila aliyeahidi kutoa pesa hizo amezama chimbo na kupotea kabisa.

Gari hii imerudi mnadani ikiwa na bei ya dola laki moja tu

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open