Burudani

Video ya WCB Wasafi Vs Seduce ya AliKiba kwa watazamaji Youtube, Anayeongoza yuko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Leo 24 September 2017, kwenye Youtube video ya wimbo wa WCB Wasafi #Zilipendwa Inaongoza kwa watazamaji Milioni 6,133,456 Vs Video ya AliKiba ya #SeduceMe ambayo mpaka sasa inawatazamaji  Milioni 5,997,468

Hizi ni Nyimbo zilizoshindanishwa sana sababu zilitoka kwenye siku moja na zina mashabiki wanaojua kushindana katika kutoa ushirikiano kwa kazi za wasanii wao AliKiba na Diamond Platnumz.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open