Amber amesema haya kwenye show ya mpenzi wake 21 Savage iliyofanyika weekend hii, kwenye video hio Amber anasema Imma marry him >

Amber Rose ana mtoto mmoja na amewahi kuwa na mahusiano na mastaa wakubwa kama Kanye West na Wiz Khalifa.

#SammisagoNEWS