Burudani

Aliyekuwa kwenye Lebo moja na Ali Kiba ‘Baraka Da Prince’ ameonyesha kukubali kazi mpya ya Diamond Platnumz

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Aliyekuwa msanii kwenye Lebo moja #RockStarr4000 na Ali KibaBaraka Da Prince‘ ameonyesha kukubali kazi mpya ya Diamond Platnumz

Baraka ni miongoni mwa wasanii wasiojua kuficha hisia zao juu ya muziki wa wasanii wenzake.

Post yale leo ilikuwa hivi kuhusu colabo ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage – Hallelujah >Baraka Da Prince>🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Diamond Platnumz

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open