Burudani

Baada ya kujifungua mapacha Beyonce kaajiri wasaidizi sita kusaidia…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kujifungua mapacha Rumi na Sir,familia ya JAY-Z Na Beyonce wameajiri wasaidizi sita kusaidia kazi za watoto hawa ikiwa kila mmoja atalipwa dola laki moja kwa mwaka.

Beyonce na Jay Z kwa sasa wanaishi mjini Los Angeles wa jarida la OK, wasaidizi hao sita ni kwaajili ya kulea watoto wao mapacha muda wote kutokana na ratiba tofauti za kulala kwa watoto hao.

Fahamu tayari kuna wasaidizi wawili kwaajili ya moto wao wa kwanza Blue Ivy, mwenye umri wa miaka mitano, kwahio The Carter wanawasaidizi Nane kila siku.

Video,Povu La Nikki Wa Pili Baada Ya Malalamiko Kuwa Weusi Wanatoa Nyimbo Nyingi…

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open