Burudani

Blac Chyna ametangaza rasmi kuanza kufanya muziki wa rap

By  | 
Sambaza Hii Kwa Marafiki

Ex wa Tyga, Blac Chyna ambaye hivi karibuni amepata mtoto wa pili na Rob Kardashian ametangaza kuanza kufanya muziki wa rap.

Tumemuona kwenye video tofauti za muziki kama Rack City ya Tyga na Rich Sex ya Future, Sasa Blac Chyna ameanza kusaka ndoto yake ya kuwa rapa na tayari amefanya mazungumzi na Capitol Records

Ripoti inasema Blac Chyna kuonekana kwenye video ya Yo Gotti, Mike WiLL Made-It, na Nicki Minaj “Rake It Up” kumemshawishi kutaka kufanya muziki wa rap.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open