Burudani

Mpenzi wa Wiz Khalifa ‘Izabela Guedes’ kwenye video ya Davido Ft Young Thug Na Rae Sremmurd ‘Pere’ Itazame hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii video mpya ya Mnigeria Davido Ft Young Thug Na Rae Sremmurd  “Pere.”, Wasanii hawa wa Marekani wameimba kwenye mdundo wa AfroBeat

Video imeongozwa na Sesan, Mastaa kwenye video ni Davido, Thugger, Slim Jxmmi,Swae Lee, mpenzi wa sasa wa Wiz Khalifa ‘Izabela Guedes’.

Wimbo huu umetayarishwa na DJ Mustard, “Pere” maana yake ni “One Time” kwa lugha ya Nigeria ya Yoruba.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open