Burudani

Picha,Diamond Platnumz na Patoranking,Ujumbe wake kwa Zari The Boss Lady….

By  | 
Sambaza Hii Kwa Marafiki

Kupitia IG yake Diamond Platnumz alitegemewa kuweka Picha ya Hamisa Mobeto baada ya staa huyu kujifungua mtoto wa kiume ambaye anatajwa kuwa ni wa SIMBA.

August 9 2017 Diamond aliandika ujumbe huu kwaajili ya Zari >Happy South African Women Day Baby…. Thanks for Changing my life… I can’t wait for our Big History Day…[email protected]

Je Ndoa Inanukia ?

Diamond Platnumz kwa sasa yupo Uingereza na amekutana na Patoranking kutoka Nigeria.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open