Burudani

Post ya Diamond Platnumz kwa Wema Sepetu, Happy Birthday Madam….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Diamond Platnumz na Wema Sepetu bado ni maBest Friend na kila wakati hupeana ushirikiano kwenye mambo tofauti wanayofanya.

Leo ikiwa ni Birthday ta Wema Sepetu, Diamond Platnumz amempost akiwa na Idris Sultan na Kuandika “Happy birthday Madam….🎂”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open