Burudani

Diamond Platnumz asafiri mpaka Afrika Kusini kwaajili ya Birthday ya Zari The Boss Lady

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva Super Staa wameshangaza wengi baada ya kusafiri kutoka Tanzania mpaka Afrika Kusini kwaajili ya Birthday ya Baby Mama wake, mama wawili wake Zari The Boss Lady.

Kwenye hii video fupi inayotrend Tanzania inaonyesha kwa mara ya kwanza SIMBA akiwa na ZARI Toka kufanyiwa Interview ya Radio kuhusu Mahusiano na Hamisa Mobetto mpaka kupata mtoto.

Happy Birthday Kwa Zari The Boss Lady Kutoka SammisagoTV

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open