Burudani

Ndani ya Masaa 15, Video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ yatazamwa na watu zaidi ya MILIONI 1.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

 

Staa wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Diamond Platnumz amefanikiwa kuweka Rekodi mpya ya Watazamaji wa video za wasanii kwenye mtandao wa Youtube baada ya video yake kutazamwa na watu zaidi ya Milioni 1 ndani ya Masaa 15.

Hii video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ Iliyotoka usiku wa Sep 28, 2017

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open