Burudani

Diddy na DJ Khaled kushiriki kwenye kipindi cha kugundua vipaji vya wasanii wa HipHop

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Diddy na DJ Khaled wapo kwenye mazungumzo na kituo cha Tv cha Fox kwaajili ya kuwa majaji wa kipindi kipya cha Tv cha vipaji vya HipHop kilichopewa jina “The Four,”.

Mpaka sasa hakuna aliyesaini chochote, wanahitajika majaji wanne, Mdau mkubwa #Diddy ,Producer Mkubwa #DJKhaled, Mwandishi mmoja wa nyimbo za HipHop na Msanii mmoja wa HipHop, nafasi hizi mbili watahitajika wanawake.

Lengo la kipindi ni kugundua wasanii na vipaji vipya vya HipHop.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open