Burudani

Picha, Tattoo ya sura ya Drake kwenye mkono wa baba yake Dennis Graham

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii Picha ya Tattoo ya sura ya Drake kwenye mkono wa baba yake mzazi Dennis Graham.

Tattoo hii kwenye mkono wa Dennis Graham imechorwa bure mchoraji Money Mike,

Rapa Drake tayari ana tattoo ya baba yake kwenye mkono wake na tattoo za wasanii wengine kama Lil Wayne, Denzel Washington, Sade, na Aaliyah.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open