Burudani

Meneja wa Eminem, Paul Rosenberg amechaguliwa kuwa CEO wa lebo ya Def Jam

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Meneja mkongwe wa Eminem, Paul Rosenberg amechaguliwa kuwa CEO wa lebo ya Def Jam na ataanza kazi january mwaka 2018.

Paul Rosenberg ndio mwanzilishi wa lebo ya Eminem ya Shady Records na kiongozi wa Goliath Artist Management, atachukua nafasi ya Steve Bartels,ambaye amekuwa kwenye nafasi hio toka mwaka 2013.

Kwa sasa lebo hii inasimamia wasanii kama Iggy Azalea, Logic, Big Sean, Kanye West, Leona Lewis, 2 Chainz, Mother Mother, Afrojack, Jeezy, Jeremih, Ludacris, Alesso, Pusha T, Desiigner, Jhené Aiko.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open