Burudani

George Clooney na mke wake Amal Clooney wapata watoto mapacha…

By  | 
Sambaza Hii Kwa Marafiki

Mwigizaji maarufu George Clooney ’56’ na mke wake Amal Clooney ’39’ wamebarikiwa kupata mapacha. Watoto hao mapacha ni mvulana na msichana.

Amal na George wamewaita Ella na Alexander Clooney.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open