Burudani

Picha, Hamisa Mobetto na Wema Sepetu ni Marafiki, Post ya Hamisa iko hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mashabiki wa Hamisa Mobetto wamemsifia Model huyu baada ya Kumpost Wema Sepetu kwenye Birthday Yake leo 9/28/2017.

Hamisa amepata Sifa hizi kutokana na Imani iliyojengeka hivi karibuni baada ya kupata mtoto wa Diamond Platnumz kuwa Urafiki wake na Ex wa Staa huyu ‘Wema Sepetu’ Umekufa.

Fahamu kuwa mahusiano ya Diamond na Wema Sepetu yalikuwa miongoni mwa mahusiano maarufu zaidi Afrika ya mastaa wawili.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open