Burudani

Picha, mwigizaji Halle Berry,51, ana boy friend mpya, ni producer wa Muziki

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa Filamu Halle Berry amepigwa picha akiwa na mpenzi wake Alex Da Kid ambaye ni mtayarishaji maarufu wa muziki Marekani.

Halle Berry ambaye ni kawaida yake kutoka na vijana wadogo au aliowapita umri kwa sasa anatangaza filamu mpya ya Kingsman 2: The Golden Circle, huku mapaparazzi wakimsumbua kuhusu kuwa na mahusiano na kijana huyu Alex da Kid.

Halle Berry ana umri wa miaka 51 na  mpenzi wake ana umri wa miaka 35, Huyu Alexander Grant, a.k.a. Alex da Kid ni producer kutoka London Uingereza na ameshafanya kazi na wasanii kama Dr. Dre, Nicki Minaj, Eminem na Diddy

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na tovuti ya SeekingArrangement, asilimia 42 ya wanawake wanakuwa na mahusiano na vijana wadogo kutokana na nguvu zao

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open