Burudani

Kujifunza utofauti wa maisha J Cole ametembelea wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ili kujifunza zaidi utofauti wa maisha msanii mkubwa wa hiphopp Marekani J Cole ametembelea wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha katika Jela kubwa na hatari zaidi Marekani ya San Quentin iliyopo San Francisco.

Meneja wa J. Cole, Ibrahim Hamad amesema tumejifunza mengi sana kwa kuongea na wafungwa hawa ambao hawata kaa wawe huru tena, kwenye ziara hii ya J Cole pana kipengele kinachohusu raia wanaotumikia miaka mingi kwenye jela za North America.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open