Burudani

J. Cole athibitisha kuwa na mtoto wa kwanza na mke wake Melissa Heholt…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa J. Cole amethibitisha kwenye interview mpya aliyofanyiwa kuwa amepata mtoto wa kwanza.

Rapa anayefahamika kwa kuzikimbia Interview J Cole finaly amefunguka kwenye interview na The New York Times kuwa “Amepata mtoto na mke wake Melissa Heholt, huyu ni mtoto wa kwanza kwa J Cole na mke wake ila amesita kutoa jina na jinsia ya mtoto huyo“….

J Cole anaelekea kutoa makala yake kupitia HBO itakayoitwa  J. Cole: 4 Your Eyez Only.

Kutokana na mashairi yake tunakisia kuwa atakuwa mtoto wa kike baada ya kumsikia akiimba kuhusu kuwa na mtoto wa kike kwenye wimbo wake She’s Mine, Pt. 1”na “She’s Mine, Pt. 2”kutoka kwenye album ya 4 Your Eyez Only.

Tazama Interview Za Mastaa Wako Kwenye Channel Yetu,Bonyeza SAMMISAGOTV

Weka Comments Hapa

Open