Burudani

J Cole asema alitaka kumsajili Kendrick Lamar mara ya kwanza anamuona kwenye jukwa..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa wa Roc Nation ya Jay Z ‘J Cole’ amesema mara ya kwanza anamuona Kendrick Lamar anafanya show alitaka kumsaini kama msanii wake bila kujua tayari alikuwa msanii wa TDE.

J Cole ni miongoni mwa wasanii wa hiphop anayefananishwa na Eminem, 2 Pac na Kendrick Lamar kutokana na misimamo yao ya kazi, uwakilishaji wao mzuri wa stori na mashairi kwenye nyimbo, uchanaji mkali unaoeleweka kwenye rekodi zao.
Fahamu kuwa rekodi kubwa ya J Cole ni kuwa na album zake zote nne zimeuza zaidi ya kopi milioni moja.

Video,Diamond Platnumz alivyozindua Perfume yake CHIBU…..

Tazama Interview Za Mastaa Wako Kwenye Channel Yetu,Bonyeza SAMMISAGOTV

Weka Comments Hapa

Open