Burudani

Jada Pinkett;Ndoa yangu imedumu kwa miaka 20 kutokana na…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mke wa mwigizaji Will Smith ,Jada Pinkett Smith amefunguka kuhusu ndoa yake kufikisha miaka 20, mnamo december mwaka huu nakusema urafiki na mume wake umesaidia kudumisha ndoa yao.

Jada anasema hakuna kitu kigumu kama maisha ya ndoa ila urafiki na Will Smith umesaidi kumudu matatizo yetu.

Jada yuko kwenye ziara ya vyombo vya habari akitangaza filamu yake mpya Girls Trip
#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open