Burudani

JAY-Z Amsifia msanii wa Cold Play, Chris Martin….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kutoa album mpya ya 4:44 rapa Jay Z ameingia kwenye ziara ya kutangaza tour yake na kwenye interview mpya JAYZ amemwagia sifa msanii Chris Martin wa Cold Play na kusema Uingereza utajivunia kuwa naye.

JAY-Z Anasema “Ukiacha kuwa ni rafiki yangu, Chris Martin ana rekodi na kuandika muziki bora sana, ila ubora wake zaidi ni anapofanya show zake,hutojutia kumtazama”

JAY-Z anasema Chris Martin Wa ColdPlay ni kama Shakespeare wa kizazi hichi,

JAY-Z na Martin wamefanya nyimbo kama kwenye rekodi ya Beach Chair

JAYZ anaelekea kwenye tour yake itakayoanza Oct. 27

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open