Burudani

Justin Timberlake aingia kwenye tuzo za Oscar kwa mara ya kwanza.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Justin Timberlake amepata nafasi inayotafutwa na kila staa wa muziki na filamu, kutajwa kuwania tuzo ya Oscar na Justin anawania tuzo ya wimbo bora uliorekodiwa maalum kwaajili ya filamu.

Wimbo wa Justin Timberlake “Can’t Stop the Feeling!” umetumika kwenye filamu ya Trolls umetajwa kwenye kipengele cha Best Original Song.

Pia colabo ya Justin Timberlake na Pharrell iliyotumikwa kwenye filamu ya Hidden Figures imetajwa kuwania tuzo ya Oscar.

Host wa tuzo za Oscar za 89 mwaka huu atakuwa Jimmy Kimmel,zitafanyika kwenye ukumbi wa Dolby Theatre mjini Hollywood mnamo Feb. 26.
Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open