Burudani

Video, Kim Kardashian amethibitisha taarifa za kupata mtoto wa tatu na Kanye West

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kupitia promo ya Msimu mpya wa kipindi cha maisha ya familia ya The Kardashian “KUWTK” Kim Kardashian amethibitisha taarifa za mtoto wa tatu na Kanye West.

Akiongea na dada yake kwa njia ya simu Kim K kupitia kipindi cha “Keeping Up with the Kardashians” msimu wa 14 amemwambia Khloé “We’re having a baby!” 

Awali palikuwa na ripoti kuwa Kim Na Kanye wamemtumia mwanadada flani kubeba mimba hio kutokana na matatizo ya uzazi ya Kim Kardashian ‘Placenta Accreta’.

Fahamu kuwa Kylie Jenner na Khloe Kardashian wote wanaujauzito, Khloe anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na NBA Staa  Tristan Thompson na Kylie ana ujauzito wa Travis Scott.


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open