Burudani

Hii trailer ya kipindi cha tv kuhusu beef la Jay Z na Kanye West ‘Public Enemies’ itazame hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya beef ya JAY-Z na Kanye West kuwa stori kubwa kwenye mitandao ya kijamii sasa kipindi cha Tv kimetayarishwa kwaajili ya kuelezea kilichotokea kati yao, kipindi hichi kimepewa jina “Public Enemies,” .

Kipindi hichi kitaonekana kwenye tv ya Uingereza Channel 4, kitaonyesha ushuhuda wa watu tofauti kuhusu beef hili na mambo tusiyo yajua kuhusu mastaa hawa wawili.

Bonge La Nyau Amlipa Baraka Da Prince Ili wafanye Colabo

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open