Burudani

LL Cool J anakuwa msanii wa kwanza wa Rap kupokea tuzo ya heshima ya Kennedy Center

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa mkongwe LL Cool J anakuwa msanii wa kwanza wa Rap kupokea tuzo ya heshima ya Kennedy Center katika kusheherekea maisha yake kwenye sanaa.

Ikiwa ni sherehe za 40 za Kennedy Center Honors, watakao pokea tuzo maka huu ni pamoja na Gloria Estefan, Dancer Carmen de Lavallade, Lionel Richie.

LL Cool J >”Nimeshtuka sana,hii ni tuzo kubwa sana kwa mimi kupokea, kutambulika na nchi yako na kuweza kuwakilisha hiphop kama sanaa ,nimeshanga na nashukuru sana” #TheWashingtonPost.

Hii itakuwa sherehe ya kwanza ya Kennedy Center Honors chini ya Rais Donald Trump, who garnered criticism for introducing a budget that would eliminate the National Endowment for the Arts and the National Endowment for the Humanities earlier this year.

Kennedy Center Honors zitafanyika kwenye ukumbi wa Kennedy Center Opera House Dec. 3.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open