Michezo

Mike Tyson kataja mshindi wake kati ya Conor McGregor na Floyd Mayweather….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bondia mkongwe duniani Mike Tyson ametoa kauli yake kuhusu pambano kubwa la ngumi kati ya Conor McGregor na Floyd Mayweather nakusema McGregor hana nafasi ya ushindi kwa Floyd kama wanatumia sheria za ngumi na sio UFC.

Tyson anasemaMcGregor anajua mateke,kushika,kukaba na kusukuma,hamuwezi Mayweather ambaye amecheza ngumi toka anazaliwa

Mike Tyson ni rafiki wa wapiganaji wote wawili.

#SammisagoNEWS 

Weka Comments Hapa

Open