Michezo

Picha,Klabu ya PSG imekamilisha usajili wa Neymar kutoka Barcelona kwa ada ya….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Klabu ya PSG ‘Paris St-Germain’ imekamilisha usajili wa Neymar kutoka Barcelona kwa ada ya pound milioni 198, staa huyu amesaini mkataba wa miaka mitano.

Neymar atalipwa pound 515,000 [Baada ya kukatwa kodi] kwa wiki kama mshahara wake akiwa PSG.

Tovuti ya BBC inasema kukamilisha dili hili pesa kamili zilizotumika pound milioni 200.

Dili ya Neymar limekunja rekodi ya Paul Pogba kusajiliwa na Manchester United kutoka Juventus kwa ada ya pound milioni 89 mnamo August 2016.

Baada ya kutangaza kusitisha mkataba wake,Klabu ya Barcelona imefuta profile na picha ya Neymar kwenye website yao

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open