Michezo

Picha zote, Neymar ametambulishwa rasmi mbele ya mashabiki wa PSG katika jijini Paris nchini Ufaransa..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Neymar ametambulishwa rasmi mbele ya mashabiki wa PSG katika uwanja wa Parc De Princes jijini Paris nchini Ufaransa. Neymar amekabidhiwa Jezi #10 ambayo kama yenye thamani ya pound 112 [Tsh 330,000]

Wakati anatambulishwa mwenyekiti wa PSG Nasser Al Khelaifi amesema Si kweli kwamba Neymar ndio alilipa fedha za kuvunja mkataba na Barcelona, ni PSG wamelipa fedha hizo na hawajavunja sheria yoyote.

Neymar nae amesema Alichukua uamuzi rasmi wa kuondoka Barcelona siku mbili zilizopita, ameondoka wakati sahihi, alihitaji changamoto mpya na anaamini ataipata akiwa Paris na atahakikisha anapambana kuipatia timu mafanikio.

Al Khelaifi amesema>Kila tulichofanya tumehusisha UEFA, sheria ya Financial Fair Play haijavunjwa katika usajili wa Neymar,

   

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open