Burudani

Picha za Davido akishoot video ya wimbo wake mpya….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kutangaza kuacha kulikimbiza soko la kimataifa, staa wa muziki Davido ameanza kufanya kazi kama msanii huru.

Hizi picha za video mpya anayofanya Afrika Kusini, kwenye video hii katumika mwanamitindo maarufu Nqobilé Ntshangase.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open