Burudani

Toka 2009 mpaka leo Drake analilia colabo na huyu Mnigeria.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye interview wiki hii rapa Drake amesema jambo ambalo mpaka leo analilia kwneye muziki ni kufanya colabo na msanii kutoka Nigeria SADE ADU.

Drake aliwahi kusema Sade ni miongoni mwa Role Models wake waliokuwa na ushawishi mkubwa katika kuanzisha mtindo wake wa OVO.

Drake anasema “Nilitegemea kuwepo kwenye album ya Sade katika remix ya “The Moon and the Sky” mwaka 2010 iliyotayarishwa na producer wangu Noah “40” Shebib ila Sade alimchagua Jay Z,nilikaribia kupewa hio colabo ila nyota yangu haikuwa kubwa kiasi hicho kusikika na yeye”.

Pia Drake anasema mwaka 2009,alitaka kumpa colabo Sade kwenye album yake ya Thank Me Later album, ila ikashindikana.

Ata baada ya Sade kumnunulia Drake zawadi hivi karibuni kwenye siku yake ya kuzaliwa alipofokisha miaka 30, bado mwana dada huyu hajampa colabo Drizzy.

Dully Sykes atoa kauli ya mwisho Kuhusu Kuwapatanisha Diamond Platnumz Na Ali Kiba

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open