Michezo

Baba yake Neymar hakutaka mtoto wake aondoke Barcelona.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kusajili kwa rekodi ya pound milioni 198 na PSG akitokea Barcelona, mshambuliaji Neymar ameandika ujumbe mrefu ambao ameusoma kwenye instagram yake.

Akiongea na mashabiki wake milioni 79 Neymar anasema “Mwanamichezo anahitaji changamoto na hii ni mara ya pili kwenye maisha yangu naenda tofauti na baba yangu ambaye hakutaka niondoke Barcelona,bado nahitaji ushirikiano wako kama kawaida”

Neymar amesaini mkataba wa miaka mitano na Paris Saint-Germain.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open