Burudani

Nicki Minaj kuanzisha mfuko wa kusaidia wanafunzi….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kulipia ada na vitabu baadhi ya wanafunzi Marekani, rapa Nicki Minaj ameona umuhimu wa kuanzisha mfuko wa kulipia ada na kusaidia wanafunzi wanaohitaji msaada.

Mfuko huu bado haujaanzishwa ila utakuwa mfuko unaochangisha pesa kutoka kwa wasanii tofauti wa rapa na hiphop Marekani.

 

Tazama Interview Za Mastaa Wako Kwenye Channel Yetu,Bonyeza SAMMISAGOTV

Weka Comments Hapa

Open