Burudani

Nicki Minaj, asema album anayotoa sasa ndio kazi yake bora zaidi, jina lake liko hapa…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Nicki Minaj amefunguka kuhusu album yake mpya nakusema itakuwa album yake bora zaidi kuwahi kutoka.

Nicki Minaj ameongea na DJ Whoo Kid nakusema anamategemeo makubwa kwenye ubora wa album yake mpya iliyotajwa kuitwa NM4.
Album hii imesha tengeneza shauku kubwa mtaani kutokana na ushindani wa Nicki Minaj na Remy Ma pamoja na beef lao linaloendelea kwa sasa.

Video, Jacqueline Wolper kafunguka kuhusu beef na tusi la Mange Kimambi,Sarah wa Harmonize, mahusiano na Mh Paul Makonda…..

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open