Burudani

Video,Povu La Nikki Wa Pili Baada Ya Malalamiko Kuwa Weusi Wanatoa Nyimbo Nyingi…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Weusi kutajwa kuwa miongoni mwa wasanii wanaotoa rekodi nyingi kwa wakati mmoja, Zingine zikikosa muda wa hewani kwenye radio, Msemaji wa kundi hilo Nikki Wa Pili ametoa hii kauli na maelezo haya…..

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open