Burudani

Nuh Mziwanda akubali yaishe,alichoandika baada ya Ex wake Kuolewa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa bongo fleva Nuh Mziwanda ameweka ujumbe mfupi kwa Ex wake Nawal baada ya kugundua kuwa ameolewa na bwana mwingine.

Kwenye IG Yake Mziwanda aliandika>>Nimeona Nawal na hongera sana Mungu akusimamie wewe na Mumeo katika ndoa yenu’pia shikamoo bwana harusi mana ulikua unanyapia kitambo sana halafu sijui ‘ndio mana bidada sababu nyingi mradi urudi kwenu ‘kumbe mipango ya ndoa doh’😩🙏 (kama movie hivi ila 👊)

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open