Burudani

Mambo manne tuliyojifunza kuhusu Beef la Peter na Paul wa P Square kutoka kwa wakili wao

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wakili wa P Square, Festus Keyamo ameongelea kuvunjika kwa kundi hili la wasanii mapacha kutoka Nigeria, Video inayosamba mtandaoni kuhusu ugomvi wao kwenye ofisi zake na wake zao kuhusika kwenye drama hizi.

Festus anasema
>Tumetumia nguvu zetu kwa muda mrefu kuwaka sawa mahusiano ya vijana hawa mapacha

>Ofisi zetu hazijahusika kwenye kusambaza au kutoa taarifa zozote kuhusu tofauti za wasanii hawa ambao ni wateja wetu kwa muda mrefu [Video na mktataba wao]

>Hakuna mwana familia yoyote wa Okoye ambaye maisha yake yako hatarini [Baada ya tetesi kuwa Jude Okoye ametishia maisha ya Peter na familia yake].

>Wake zao hawahusiki kabisa kwenye matatizo yao, kwanza wameweza kukaa mbali kabisa na mambo yao ya muziki

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open