Burudani

Kauli ya mwisho ya Pam D kuhusu mahusiano na Nay Wa Mitego….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva Diva Pam D amesema anakaribia kuwa mke wa mtu, akizungumzia kuhusu mahusiano yake Pam D amesema ataolewa na mpenzi aliyenae kwa sasa, wamedumu nae kwa muda mrefu katika mahusiano….

Kuhusu Nay Wa Mitego, Pam D anasema ‘Story zingine za mitaani zinazosikika juu yangu ni za uongo, mimi nina mpenzi ambaye tunatarajia kufunga ndoa ingawa siwezi kumuanika mtandaoni kwani sehemu anayohitajika kujulikana ni kwa wazazi na familia‘.

Pam D amezungukwa na tetesi za kuwa na mahusiano na rapa Nay wa Mitego

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open