Burudani

Kauli ya Pam D kuhusu muonekano wake kufananishwa na wa Chemical….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye #5SelektEatv Pam D amefunguka kuhusu muonekano wake wa kiume kufananishwa na wa Chemical haswa baada ya kutoa video mpya akiwa na Christian Bella…

Pam D anasema Mimi na Chemical ni watu wawili tofauti, kwa sababu huu ni muonekano wangu wa kibiashara ila kwenye masha yangu ya kawaida Pam D anaishi maisha ya tofauti kwa kuvaa magauni na kuonekana binti lakini huu muonekano wa vikaptula na wa kiume ni wa biashara kwa sababu mashabiki zangu wanataka niwe hivi na mimi nafanya kile wanachotaka kwa sababu hii ni kazi yangu.

Pam D pia amethibitisha kuwa baada ya kutoa colabo yake na Christian Bella atafanya colabo na Chemical.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open