Michezo

Picha, hii Lamborghini ya Mchezaji wa Borussia Dortmund ‘Pierre Aubameyang’.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

 

Mchezaji wa Borussia Dortmund Pierre Emerick Aubameyang amevuta ndinga mpya nakuwaonyesha mashabiki wake

Akiwa ni miongoni mwa wachezaji wanaowaniwa na klabu tofauti za Bundesliga huku akifunga magoli Nane kwenye game Sita.

Gari aliyonunua Aubameyang ni Metallic Lamborghini Murcielago yenye thamani ya Pound £150,000.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open