Burudani

Sababu ya kifo cha rapa wa Mobb Deep, Prodigy imetajwa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya uchunguzi mkali imegundulika kuwa sababu ya kifo cha rapa wa Mobb Deep, Prodigy ni ‘Choking’, staa huyu alikabwa na yai kwa bahati mbaya akiwa kwenye kitanda cha hospitalini.

Prodigy alikuwa hospitalini sababu ya ugonjwa wa Sickle Cell Anemia uliomsumbua toka akiwa mtoto.

Prodigy alifariki June 20 mjini Las Vegas akiwa na umri wa miaka 42 na kuzikwa June 29 mjini New York City, kwenye mazishi yake walikuwepo wasanii kama Havoc wa Mobb Deep,LL Cool J, Ice-T, 50 Cent, Questlove, Remy Ma, Fat Joe

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open