Burudani

Rihanna amkumbusha Rais Donald Trump Kuhusu kutoa misaada Puerto Rico

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa muziki USA, Rihanna amejiunga na msanii Marc Anthony katika harakati za kumshtua Rais Donald Trump kuanza kusaidia watu walioathirika na kimbunga cha MARIA kwenye visiwa vya Puerto Rico.

Kupitia twitter na Instagram Rihanna aliweka picha ya gazeti lenye stori kuhusu matatizo yanayoendelea Puerto Rico na kuandika “Dear @realDonaldTrump, I know you’ve probably already seen this, but I just wanted to make sure! Don’t let your people die like this.

Msanii mwingine aliyeongelea rais kwenda kutembelea na kupeleka misaada Puerto Rico ni Cardi B.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open