Burudani

Picha,Rihanna amekutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na First Lady Brigitte Macron,ni kuhusu misaada ya Africa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

RnB Diva Rihanna amekutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na First Lady Brigitte Macron mjini Paris ikiwa ni sehemu ya kukusanya misaada kwaajili ya taasisi yake ya Clara Lionel.

Rihanna anasema ameongea na kiongozi huyo kuhusu misaada katika maswala ya elimu na afya barani Africa, Riri atarudi Africa mwezi wa Kumi mwaka huu kutoa misaada ya maswala ya elimu.

February mwaka huu Rihanna alipewa tuzo ya chuo cha Harvard ya Humanitarian of the Year kutokana na misaada yake katika elimu na afya barani Afrika.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open