Burudani

Picha, Ciara, La La na Kelly Rowland kwenye Baby Shower ya mkali wa Tennis Serena Williams

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mastaa Ciara, La La na Kelly Rowland wamehudhuria Baby Shower ya Serena Williams iliyotakiwa uwe umavalia mavazi ya miaka ya 1950.

Serena Williams,35, anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na mchumba wake Alexis Ohanian.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open