Burudani

Rapa Sean ‘DIDDY’ Combs ameongoza orodha ya wasanii wa HipHop waliolipwa zaidi 2017 ya Forbes’ Highest-Paid Hip-Hop Artist 2017.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Sean “Puff Daddy” Combs ameongoza orodha ya wasanii wa HipHop waliolipwa zaidi 2017 ya Forbes’ Highest-Paid Hip-Hop Artist 2017.

Diddy ametajwa kutengeneza dola milioni $130 mwaka huu bila album sokoni, pesa hizi kapata kupitia biashara kama Ciroc Vodka, DeLeón Tequila, Maji ya AQUAhydrate, Tour ya muziki ya Bad Boy reunion na alivyouza asilimia kubwa ya hisa za mavazi na bidha za Sean Jean kwa kiasi cha dola milioni $70.

FORBES’ HIGHEST-PAID HIP-HOP ARTISTS

1. Diddy – $130 million
2. Drake – $94 million
3. JAY Z – $42 million 
4. Dr. Dre – $34.5 million
5. Chance the Rapper – $33 million
6. Kendrick Lamar – $30 million
7. Wiz Khalifa – $28 million
8. Pitbull – $27 million
9. DJ Khaled – $24 million
10. Future – $23 million
11. Kanye West – $22 million 
12. Birdman – $20 million
13. J. Cole – $19 million
14. Swizz Beatz – $17 million
15. Snoop Dogg – $16.5 million
16. Nicki Minaj – $16 million
17. Lil Wayne – $15.5 million
18. Macklemore & Ryan Lewis – $11.5 million (tie)
19. Rick Ross – $11.5 million (tie)
20. Lil Yachty – $11 million

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open