Burudani

Shilole; Niliwapa muda wasanii wakike ili mfanye yenu lakini naona sielewi elewi….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva Diva Shilole anarudi na rekodi mpya wiki hii na ujumbe wake Instagram anasema hana mpinzani kwa wasanii wa kike Tanzania.

Kwenye IG yake kaandika Niliwapa muda flani wasanii wakike ili mfanye yenu lakini naona sielewi elewi, Sasa nasemajeeee acha Malkia nirudie kiti changu tu imeshakuwa confirmed kuwa sina mpinzaniiii…Shishi SHE ROLL IT. Mungu amenipa hakuna wa kuninyang’anya, Ujio mwingine wa roho mbaya kabisaa😨

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open