Burudani

Video,Ata baada ya Ushahidi, Tom Cruise bado anakanusha kutumia Makalio Feki kwenye filamu yake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji Tom Cruise anaendelea kukanusha kuwa alitumia MAKALIO FEKI kwenye filamu ya Action ya VALKYRIE Mwaka 2009.

Baada ya kukanusha taarifa hizi wiki hii, mwigizaji mwenzake aliyefanya naye filamu ya ‘The Mummy’ Annabelle Wallis amesema Sio kweli kuwa Tom alitumia Kalio Feki kwenye Filamu yake ila wachambuzi wa Picha hizi wanasema hili sio kalio la Tom Cruise wanalolijua.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open