Burudani

Khloé Kardashian anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na NBA Staa Tristan Thompson

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Dada yake Kim Kardashian ‘Khloé Kardashian’ ametangaza kuwa mjamzito na mpenzi wake ambaye ni staa wa NBA Tristan Thompson ‘ Cleveland Cavaliers’.

Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa Khloé, huku Thompson ana mtoto wa kiume mwenye miezi tisa tu Prince, kutoka kwenye mahusiano yake na Jordan Craig.

Khloé amekuwa na Tristan Thompson kwa muda wa mwaka mmoja sasa,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open