Burudani

Twitter Kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-tweet ‘character limit’ na kufikia 280

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtandao wa Twitter Unafanya jaribio la Kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-tweet ‘Character Limit’ kufikia 280 kwa tweet moja.

Twitter imetangaza jaribio lake la kongeza idadi ya ‘Character’ za ujumbe ambayo mtu anaweza kuandika kwenye mtandao huo kwa mara moja hadi kufikia 280 ambayo ni mara

Twitter kwa sasa ina  idadi ya zaidi ya watumiaji milioni mia tatu,umekuwa ukikabiliwa na changamoto ya ukuaji na hivyo inatafuta namna mbalimbali za kukuza wigo wa watumiaji.

Kundi dogo la watumiaji wa mtandao huo watahusishwa katika jaribio hilo la kuongeza idadi ya maneno ya kuandika.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open