Burudani

Picha, Ex wa Nuh Mziwanda ‘Nawal’ kaolewa tena….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ex na Mama mtoto wa Nuh Mziwanda ‘Nawal’ ameolewa tena kwa mujibu wa post za IG yake na ya Ex wake Nuh Mziwanda,

Awali palikuwa na ripoti kuwa Nuh Mziwanda amebadilisha tena dini na kuwa Mkristo, amerudi kanisani, na ndoa yake na Nawal imevunjika kutokana na mambo ya kifamilia kati yao.

Hizi picha kutoka kwenye IG Ya Nawal

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open